My Authors
Read all threads
UZI!
MGUNDUZI WA SIMU na CHANZO CHA "Hello"!
Kwa wale wafuatiliaji wa mambo mbalimbali nadhani mmeshawahi kukutana na jina maarufu Alexander Graham Bell.
Kama humjui au unataka kufahamu zaidi basi ungana nami kusoma uzi huu..
#ElimuKiganjani
Mnamo mwaka 1876 Machi 11, bwana Alexander G. Bell alifanikiwa kutengeneza simu ya kwanza kabisa. alizaliwa mnamo mwezi Machi 3, 1847 na kufariki dunia mwezi Agosti 2, 1922.
Baba, babu na kaka yake wote walikua wakijihusisha na masuala ya namna ya uzungumzaji & matamshi...
Kwa Kiingereza wanaita "Elocution and Speech".
Mkewe ndiye aliyemvutia na kumshawishi Bell aweze kuzama ndani zaidi kiuchunguzi kwa kufanya Utafiti katika Matamshi na Usikilizaji. Baadaye alikwenda mbali zaidi kuchunguza ni jinsi gani vifaa vya kusikilizia sauti hufanya kazi...
Ni kwenye utundu wake huu ndipo alipoweza kuibuka na simu ya kwanza yenye kufanya kazi.
Mke wa Alex aliitwa Margaret Hello.
Baada ya Alex kufanikiwa kutengeneza simu ya kwanza alimpigia mkewe kama majaribio.
Kumbuka mkewe aliitwa Margaret Hello kwahiyo alipompigia Simu alimwita jina lake la mwisho "Hello"
Hapa ndipo likapatikana neno Hello ambalo hadi leo tunalitumia pindi tunapopiga au kupigiwa Simu.
Bell alizawadiwa tuzo iliyofahamika kama "First U.S Patent" mnamo mwaka 1847.
Japokuwa Alex alikuwa akiendelea na masomo lakini hadi anafariki alikataa katakata kutumia simu kwa matumizi yake binafsi.
Simulizi au Makala hii kwa mujibu wa:
NASSARY @Mshambaflan

#ElimuKiganjani
Missing some Tweet in this thread? You can try to force a refresh.

Enjoying this thread?

Keep Current with 𝐄𝐥𝐢𝐦𝐮 𝐊𝐢𝐠𝐚𝐧𝐣𝐚𝐧𝐢

Profile picture

Stay in touch and get notified when new unrolls are available from this author!

Read all threads

This Thread may be Removed Anytime!

Twitter may remove this content at anytime, convert it as a PDF, save and print for later use!

Try unrolling a thread yourself!

how to unroll video

1) Follow Thread Reader App on Twitter so you can easily mention us!

2) Go to a Twitter thread (series of Tweets by the same owner) and mention us with a keyword "unroll" @threadreaderapp unroll

You can practice here first or read more on our help page!

Follow Us on Twitter!

Did Thread Reader help you today?

Support us! We are indie developers!


This site is made by just three indie developers on a laptop doing marketing, support and development! Read more about the story.

Become a Premium Member ($3.00/month or $30.00/year) and get exclusive features!

Become Premium

Too expensive? Make a small donation by buying us coffee ($5) or help with server cost ($10)

Donate via Paypal Become our Patreon

Thank you for your support!