My Authors
Read all threads
Mkurugenzi Msaidizi, Kitengo na Udhibiti wa Magonjwa ya mlipuko, Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dkt.Janneth Mghamba (kushoto) kizungumza baada ya kumalizika mdahalo wa kimataifa kwa njia ya video kuhusu kukabiliana na virusi vya corona #COVID19 🦠
na athari za kuenea kwake. Mkutano huo uliandaliwa na Kituo Cha Mafunzo cha Kimataifa (TaGLC) kwa kushirikiana na GDLN, Korea leo jijini Dar es Salaam.Kulia ni Kaimu Mkurugenzi wa Kituo.Bw. Brown Hasunga
Wadau mbalimbali wa Afya na watumishi wa Kituo Cha Mafunzo cha Kimataifa (TaGLC) wakimsikiliza mtoa mada kwa njia ya video katika mdahalo wa kimataifa kwa njia ya video kuhusu kukabiliana na virusi vya corona #COVIDー19 na athari za kuenea kwake.
Mkutano huo uliandaliwa na Kituo Cha Mafunzo cha Kimataifa (TaGLC) kwa kushirikiana na GDLN, Korea leo jijini Dar es Salaam.
Missing some Tweet in this thread? You can try to force a refresh.

Enjoying this thread?

Keep Current with Haki Ngowi

Profile picture

Stay in touch and get notified when new unrolls are available from this author!

Read all threads

This Thread may be Removed Anytime!

Twitter may remove this content at anytime, convert it as a PDF, save and print for later use!

Try unrolling a thread yourself!

how to unroll video

1) Follow Thread Reader App on Twitter so you can easily mention us!

2) Go to a Twitter thread (series of Tweets by the same owner) and mention us with a keyword "unroll" @threadreaderapp unroll

You can practice here first or read more on our help page!

Follow Us on Twitter!

Did Thread Reader help you today?

Support us! We are indie developers!


This site is made by just three indie developers on a laptop doing marketing, support and development! Read more about the story.

Become a Premium Member ($3.00/month or $30.00/year) and get exclusive features!

Become Premium

Too expensive? Make a small donation by buying us coffee ($5) or help with server cost ($10)

Donate via Paypal Become our Patreon

Thank you for your support!