๐จRais Alpha Conde (Guinea) alipinduliwa kwa msaada wa USA & Ufaransa, lkn kwa ASSIMI GOรTA (Mali) alisaidiwa na Urusi.Pia mauaji ya IDRIS DรBY (Chad) yalifanywa na URUSI
๐ฉโ๐ป๐๐๐ฆ๐๐จ ๐๐๐ณ๐ข๐ญ๐จ ๐๐ฎ๐ฌ๐ข๐ฒ๐จ๐ฒ๐๐ฃ๐ฎ๐๐
Mnamo Aprili 20, 2021 majira ya jioni zilianza sherehe huko La Brasserie Kiss, umbali wa 100M kutoka ktkt ya mji wa Bangui (Afrika ya Kati). Kila aliyepita huo mtaa aliona magari kadhaa yamepaki mbele ya nyumba moja ya Ghorofa 3, jumba ambalo ni kivutio kikubwa sana ktk jiji hilo
Jengo hili lipo nje kidogo ya mtaa maarufu wa DU COLONEL CONUS na ikifika usiku hupendeza sana kutokana na mng'ao wa taa ulioizunguka. Kulingana na saa kule ilikuwa mida ya saa 2 usiku hivi na kwa wenyeji wa mji huo, ni muda ambao amri ya kutotembea usiku huanza kutumika.
Siku hiyo watu fulani hawakutaka kuondoka ili wahudumu wafunge.
Siku hiyo watu fulani hawakutaka kuondoka ili wahudumu wafunge.
Kanali VASSILI, mutu ya pamba kali, Mzee wa kuwaka na mvuvi wa watoto wazuri mjini kama @BarakaSaimon3, basi naye alialikwa ktk sherehe hiyo na alikuwa ametupia nguo za kiraia ukimuona huwezi kumjua.
KANALI VASSILI NI NANI?
#Inshort:Ni kijana mdogo raia wa Urusi, anapenda sana raha, pombe kwake ni kama maji tu.Unaambiwa pia mara nyingi akiwa na gari lake la kivita ndani ya mitaa ya jiji hilo, hujiona km yupo Moscow
Yaani huwa hajali sana vizuizi vya traffic akiwa barabarani
Akiwa na wine yake aligonga glasi kadhaa kufurahia kifo cha Rais IDRISS DรBY ITNO wa Chad, ambaye alikuwa amefariki siku 02 zilizopita. Wenzake hawakufurahia hali hiyo ingawa hawakuhusika na mauaji yake. Walifadhaika sana na ilionekana ni kukosa heshima kusherehekea kifo chake.
Licha ya kuwa Kanali huyu alikuwa akifurahia hafla hiyo akiwa na marafiki zake, Lkn alikuwa kazini na simu yake ilimkumbusha km mara 02 hivi
Mtu wa kwanza aliyewasiliana naye usiku huo alikuwa Rais FAUSTIN-ARCHANGE TOUADรRA wa Afrika ya Kati na alitaka kufahamishwa habari fulani
Rais TOUADรRA alitaka kujua vikosi vya Urusi vilikuwa vimefikia hatua gani kwenye operation zao dhidi ya kikundi cha Coalition of Patriots for Change/Coalition des Patriotes pour le Changement (CPC).
Kikundi hiki cha CPC ni muungano wa vikundi kadhaa vinavyojiita vya wazalendo!!
#CPC ni kikundi cha waasi na kinaongozwa na FRANรOIS BOZIZร YANGOUVONDA, aliyekuwa rais wa nchi hiyo miaka 10 iliyopita (2003/2013).
#BOZIZร alimpindua rais wa zamani ANGE-FรLIX PATASSร akiwa ameenda Niger. Mnamo 2013, naye alipinduliwa na waziri mkuu TOUADรRA aliye madarakani.
Kikundi cha CPC kiliundwa mwaka jana 2020 na kuvuruga uchaguzi mkuu wa 2020/21 nchini humo.
Kanali Vassili ambaye jina lake kamili halijulikani kabisa, ndiye amepewa kazi ya kupambana na CPC na ni mmoja wa viongozi wa kampuni ya WAGNER yenye Mercenaries na makomando wa kivita.
Kikundi cha CPC nitakielezea baadae kuanzia
๐กKuanzishwa
๐กUongozi
๐กOperation n.k
Pia kampuni ya #Wagner nitaichambua kwa undani zaidi kadri tunavyoenda na huu Uzi, #muhimu ni kufahamu kuwa inaendeshwa na Tajiri wa Urusi rafiki na swahiba #01 wa Rais VLADIMIR PUTIN wa URUSI
Kanali VASSILI alikuwa amezoea kuzungumza na TOUADรRA na haraka alimjibu na kumhakikishia kuwa kikosi chake bado kina nguvu
Aliongezea kuwa, Jeshi la nchi hiyo ambalo mara nyingi ndio huwekwa mbele karibun litasonga zaidi na punde litadhibiti maeneo yanayoshikiliwa na waasi hao
Kisha baada ya mazungumzo hayo alikata simu na kurudi kunywa wine ๐ท yake
๐ผSherehe ziliendelea ingawa kulikuwa na amri ya kutotoka nje usiku. Yote kwasababu kiongozi huyo wa kijeshi toka Urusi alikuwa maarufu sana kiasi kwamba uwepo wake tu Club hiyo iliruhusiwa kuvunja sheria.
Lkn unaweza ukajiuliza KIJANA huyu ni nani?๐ค
๐จMTU ambaye anaogopeka kwa karibu watu wote Jijini Bangui mpk sheria zinavunjwa!!
๐กKijana ambaye ana mawasiliano ya moja kwa moja na rais, na ni kiongozi wa ngazi ya juu wa Kampuni ya WAGNER huko Jamhuri ya Afrika ya Kati.!!
๐กJe, ndiye BOSS wa WAGNER huko Afrika ya Kati? kampuni ambayo kwa mujibu wa vielelezo inaonekana haina LEGAL STATUS huko Urusi!
Mnamo Sept 19, 1960, Mkuu wa CIA huko Leopoldville (sasa Kinshasa) alipokea SMS kupitia chombo cha siri kutoka wakuu wake huko Washington. Mtu aliyejiita 'Joe from Paris' ndiye aliyepiga simu na ..
kumwambia angefika Congo kwa ajili ya Operation maalum.
Hakuna maelezo zaidi yaliyotolewa. Baadae mkuu huyo alionywa kutozungumzia ujumbe huo na mtu yeyote. Wiki 01 baadae 'Joe' aliwasili nchini humo.
Leo nikiwa nasoma kitabu cha ๐๐ก๐ข๐ญ๐ ๐๐๐ฅ๐ข๐๐ (Author: SUZAN WILLIAMS)
kilichotoka Agosti 20, 2021, nimejikuta nikiumia sana nafsi baada ya kufahamu jinsi Marekani ilivyomuua Waziri Mkuu wa kwanza wa DR-Congo, mzalendo wa kweli, kijana mdogo mrefu, mwembamba miaka 36, kwasababu tu USA iliogopa Umoja wa Kisovieti (USSR) ikaamua kumuua.
Baada ya TALIBAN nchin Afghanistan, habari sasa ni MAMADY DOUMBOUYA kiongozi wa kijeshi huko Guinea, kumpindua rais na kuchukua madaraka #Unadhani kikosi kidogo cha SFG kiliwezaje kudhibiti kambi za kijeshi na kumkamata rais?๐
Yes, mwanajeshi wa zamani wa Ufaransa (French Legionnaire) aliyerudi nyumbani miaka 03 iliyopita na kuaminiwa na Rais ALPHA CONDร, ndiye aliyemsaliti na kumuondoa madarakani baada ya kutaka kuongoza nchi kwa muhula wa 03
MAMADY DOUMBOUYA ambaye ana cheo cha Kanali alionekana..
kwenye kituo cha Radio-Tรฉlรฉvision Guinรฉenne(RTG), mnamo 5 Septemba majira ya saa 2 usiku, akiwa amevalia kofia nyekundu (Red Beret) ameweka bendera ya taifa hilo begani mwake, na kuzungukwa na wanajeshi wanane, akatangaza kuwa jeshi limechukua madaraka ya nchi.
Ilianza kama utani Mzee Condรฉ hakuamini kijana wake mwenyewe aliyemlea, mwenye masters ya vita na cheo akampatia alipomwambia "simama juu hlf ukae chini" Unadhani ilikuwa rahisi kumpindua? Naam It's #Guinea:1958-Present๐
Sikuweza kuandika Uzi yalipotokea mapinduzi ktk nchi nyingine mbalimbali, lkn kwa yaliyotokea jumapili nchini Guinea nimeona niandike ili Watanzania tuone km kuna lolote la kujifunza. Nitaangazia upande wa kisiasa tu. Nitachambua kila kitu kuanzia uhuru hadi kutokea mapinduzi.
Maswali nayotaka kukujibu km ulijiuliza ni haya:๐
๐จHistoria ya Guinea ikoje?
๐จKwnn mpk mapinduzi?
๐จCol. Doumbouya ana nguvu gani
๐จKwann wananchi wamefurahia?
History repeats itself, 1st as Tragedy, second as Farce.
Just retweet ๐ huenda siku
Uzi huu ukakukumbusha kitu
WHO is '๐๐๐๐๐๐๐'? WANATAKA NINI HASA AFGHANISTAN?
#๐ฟ๐๐๐๐๐:
Ifahamike, walikuwa yatima ktk kambi za wakimbizi Pakistan.
Je, wana uhusiano na AL-QAEDA? #Tragedy:UINGEREZA & URUSI kuchezea kipigo cha Mbwakoko.
โด๏ธChimbuko
๐กWalio nyuma yao?
๐Tofauti yao na MUJAHIDINA..
Vita vya Marekani nchini Afghanistan vimedumu kwa takribani miaka 20. Nimeona watu wengi wakitoa maoni juu ya Jeshi la TALIBANI kuchukua nchi Lkn wengi hawana historia juu yake. Wengine wanasema Rais wa Marekani @JoeBiden mefanya 'makosa' kuondoa majeshi yake.
BIG NO __Hapana.
Wengi tusichojua ni kwamba, huu ulikuwa ni uhalifu wa kivita na DICK CHENEY, aliyekuwa Vice President wa G. W BUSH na DONALD RUMSFELD, Kiongozi Mkuu wa Ulinzi kipindi cha Vita ya IRAQ (alishafariki), ndio walioiingiza Marekani kwenye shida hii unaiona Leo, kisa wanamtafuta OSAMA
#๐ฟ๐๐๐๐๐:
Tanzania ni nchi iliyoko Africa
Jina "๐๐๐ง๐ณ๐๐ง๐ข๐" lilipatikana kwa mashindano yaliyotangazwa mwaka 1964 na ๐๐จ๐ก๐๐ฆ๐๐ ๐๐ช๐๐๐ฅ ๐๐๐ซ ndiye aliyelibun.Hivi unafaham asili ya jina la mkoa wako?
Ktk kipind cha ๐๐ค๐จ๐ฅ๐จ๐ง๐ข Tanzania ilikuwa na utawala wa majimbo 8, Lkn baada ya #๐๐ก๐ฎ๐ซ๐ฎ mikoa ilianzishwa kwa miaka tofauti na mpk Leo hii ninavyoandika #Uzi huu ๐๐ข๐ค๐จ๐ 31 imeanzishwa kutoka pande zote Visiwani na Tz Bara.Najua ulishawahi kujiuliza asili ya Mkoa wako
Kila Jina unalosikia lazima kuna chimbuko ambalo ndio Asili ya jina hilo. Aidha, yawezekana limetoholewa ktk lugha za kigeni na kuchukuliwa kutokana na matumizi yake, muonekano, lugha za asili ktk Eneo fulani, tukio ama hata tabia za watu wa eneo fulani na makosa ya kimatamshi
#Uzi:
๐Asili yake
๐Historia yake
๐Mgunduzi wake
๐Aina & Thamani yake
๐Vita yake duniani na Tanzania
๐๐น๐ฟ iligunduliwa lini na nani, wapi
๐DE BEERS & Msukuma wa Williamson DIAMONDS, aliyeipenda Mwadui hakuna wa mfano wake!!
๐๐
Leo nimechagua kuzungumzia Maliasili za Taifa๐น๐ฟ
#Maliasili ni vitu vinavyotokana na maumbile. MFANO:Wanyama, Misitu, Madini n.k kama ulikuwa hufahamu maliasili za nchi huchangia ktk utajiri wa nchi husika.Mojawapo ni South Africa, imenawiri kiuchumi kutokana na utajiri wa madini
Nafahamu ulishawahi kujiuliza, Almasi ni nini? Iko iko je? au Almasi zinatengenezwa na nini?
LEO nakupa Jibu:
#ALMASI: Ni kito Adimu chenye thamani kubwa sana Duniani. Kito hiki ni kigumu sana kushinda Metali au madini yote Duniani. Asili yake hutengenezwa na Carbon (C) 99.95%