My Authors
Read all threads
UZI: Enoch Mankayi Sontonga -Mtunzi wa Nyimbo ya taifa "Mungu ibariki"

Alizaliwa mwaka 1873 nchini Afrika ya kusini katika moja ya kabila maarufu la waxhosa mji wa uitenhage, mashariki ya jimbo la cape colony ambako pia ni nyumbani kwa baba wa taifa hilo hayati Nelson Mandela. ImageImage
Alikua akifanya kazi ya ualimu kama ndugu yetu @bajabiri na baadaye alikua kiongozi wa kwaya.

Kupitia kwaya alimpata mwenza wake wa maisha Diana Mngqibisa na wakapata mtoto wa kiume, Diana alifariki dunia mwaka 1929.

👇🏾👆@tonytogolani @ManenoIzaak Image
Utunzi wa Enoch ulikua wa nyimbo za huzuni kuhusu maisha magumu ya waafrika chini ya utawala wa wazungu

Wimbo wake, Nkosi Sikelei' iAfrika yaani "God Bless Africa" kwa lugha ya ndugu zetu Wasambaa kina @JMakamba , baadae ulitafsiriwa kwa lugha ya kiswahili "Mungu ibariki Afrika"
Ulikua ni wimbo wa kuwapa tumaini ingawa walikua wanaumia kwa kuteswa na watawala nyimbo hii iliwakumbusha kuwa hawako peke yao, Mungu yuko pamoja nao.

Alipoutunga wimbo huu mwaka 1897 hakulenga Afrika ya kusini pekee bali Afrika nzima japo ulianza kusikika hadharani mwaka 1899.
Uliimbwa kanisani kwa mara ya kwanza mwaka huo kisha baada ya miaka 13 uliimbwa kwenye mkutano wa kwanza wa kuanzisha chama cha kugombea haki za Wafrika cha South African Native Congress mwaka 1912 uliofanyika Bloemfontein.

Kuanzia 1925 ulitumika kama wimbo wa wapigania uhuru. Image
Mwaka 1994 wimbo huo ulianza kutumika rasmi kama wimbo wa taifa wa Afrika ya kusini.

Mataifa mengi yamekua yakitumia wimbo huu kama wimbo wa taifa kwa kubadirisha lugha na mtindo wa sauti.

Mataifa kama Tanzania, Zambia, Zimbabwe na Namibia.

Enoch alifariki April 18 mwaka 1905 Image
Missing some Tweet in this thread? You can try to force a refresh.

Enjoying this thread?

Keep Current with Festo D Ngadaya

Profile picture

Stay in touch and get notified when new unrolls are available from this author!

Read all threads

This Thread may be Removed Anytime!

Twitter may remove this content at anytime, convert it as a PDF, save and print for later use!

Try unrolling a thread yourself!

how to unroll video

1) Follow Thread Reader App on Twitter so you can easily mention us!

2) Go to a Twitter thread (series of Tweets by the same owner) and mention us with a keyword "unroll" @threadreaderapp unroll

You can practice here first or read more on our help page!

Follow Us on Twitter!

Did Thread Reader help you today?

Support us! We are indie developers!


This site is made by just three indie developers on a laptop doing marketing, support and development! Read more about the story.

Become a Premium Member ($3.00/month or $30.00/year) and get exclusive features!

Become Premium

Too expensive? Make a small donation by buying us coffee ($5) or help with server cost ($10)

Donate via Paypal Become our Patreon

Thank you for your support!