, 11 tweets, 5 min read
My Authors
Read all threads
BIFU LA GOODLUCK GOZBERT NA MO MUSIC

Nikiwa gheto mwaka 2014 niliona ngoma ya kijana mwenye sauti nzuri mithiri ya Marlaw kwa TV

Nikajiuliza huyu ni nani nikagundua ni mshikaji anaitwa Mo Music

Ile video ngoma iliitwa ‘basi nenda’ ikiwa

#THREAD
👇👇👇
Imefanyiwa kichupa na Adam Juma .

Ile ngoma ilitikisa sana radio na TV za bongo na Mo Music alijivunia mashabiki wengi naweza sema kwa lugha nyengine kuwa ‘basi nenda ‘ ilikuwa ngoma ya Taifa.

Kama show basi zilikuwa nyingi mno alizinguka mikoa mingi bongo

Ni mshikaji kutoka
Kipande cha mwanza kwakina Lubasha na zack

Wakati anaachia ngoma ya ‘basi nenda alikuwa bado mwanafunzi akiwa anasomea degree yake ya ‘public relation and marketing’ katika chuo cha mtakatifu Agustino Mwanza.

Alipata tabu sana akiwa chuo kama unavyojua ukiwa star mambo ishu za
Pisi kujileta kawaida tuu ni wewe kuchagua.

Tuachane hizi story turudi kwenye kisa cha lengo la uzi huu

Uzi unagusia kisa kikuu cha ugomvi wa Mo music na producer wake Loly Pop(Goodluck Gosbert)

Wakati ngoma ya ‘basi nenda’ kutoka Moshi katemi ama Mo Music ilisumbua, akaja na
Nitazoea na Almasi zote zikiwa pini alafu ghafla jamaa akaaza kutoa ngoma za ajabu ajabu(sio mgoma kali)

Watu wakajiuliza nini tatizo mbona dogo kama anayumba

Kumbe kilichotokea ni kuwa Mo music alibwagana na management yake namzungumzia producer wake Goodluck Godbert na
Mark denis ambapo kwa mujibu Goodluck chanzo kilikuwa ni ukosefu wa displine

yani dogo baada ya kuanza kuwa star akaanza kuwavimbia mpaka management yake na akafika mbali zaidi akawa anaenda kupiga show bila kuitaarifu management

Ila kwa mujibu wa Mo music anasema ishu ni
Kuwa tangu anasainiwa kwenye management hiyo alisainishwa mikataba bila kupewa kopi yake na hakufatilia sana
ila baadae alipokuja kutusua alipoulizia kopi ya mkataba manager wake Mark Denis akawa ana mzungusha na mwisho akaonekana kama kero yani kwa lugha nyengine Mo music ali..
Pigwa chini kisa kudai haki yake, duru za habari zinazidi kueleza kuwa Mo music hakuwai kutoa credit kuwa aliandikiwa ngoma na Goodluck Gosbert wakati alitakiwa kuwafanya hivyo na management yake

yani mpaka leo ukimuuliza Mo music nani amekuandikia nyimbo kama Nitazoea , Almasi
Na basi nenda atakwambia ameandika mwenyewe wakati ukweli ni kuwa ameandikiwa kila kitu na Goodluck Gosbert

Na swali ni kwamba kama kweli Mo Music aliandika ngoma zake mwenyewe mbona sikuizi anatoa boko kila ngoma anayotoa?

Mo music baada ya kupigwa chini na Management yake
Mambo yalieenda mlama hadi kufikia kurudi zake Mwanza kwa stress na kujitahidi sana kuomba msamaha ila Goodluck Gosbert na Mark Denis(manager wa Goodluck wa sasa)

hawataki kumsamehe katu katu licha ya kuomba vikao kadhaa nao.

Goodluck Gosbert ameandika nyimbo nyingi za Bongo
Kama vile Nitazoea,Almasi na basi nenda za Mo Music, Moyo Mashine ya Ben Pol, Cheche ya Ommy Dimpoz na nyingine nyingi ambazo mkataba haumruhusu kuzitaja. Na ndiye msanii wa gospel anaingiza pesa nyingi zaidi TZ.

-Mwisho

Usisahau ku Retweet tuongeze familia

#SanukanaChapo
Missing some Tweet in this thread? You can try to force a refresh.

Enjoying this thread?

Keep Current with Elchapo 👁

Profile picture

Stay in touch and get notified when new unrolls are available from this author!

Read all threads

This Thread may be Removed Anytime!

Twitter may remove this content at anytime, convert it as a PDF, save and print for later use!

Try unrolling a thread yourself!

how to unroll video

1) Follow Thread Reader App on Twitter so you can easily mention us!

2) Go to a Twitter thread (series of Tweets by the same owner) and mention us with a keyword "unroll" @threadreaderapp unroll

You can practice here first or read more on our help page!

Follow Us on Twitter!

Did Thread Reader help you today?

Support us! We are indie developers!


This site is made by just three indie developers on a laptop doing marketing, support and development! Read more about the story.

Become a Premium Member ($3.00/month or $30.00/year) and get exclusive features!

Become Premium

Too expensive? Make a small donation by buying us coffee ($5) or help with server cost ($10)

Donate via Paypal Become our Patreon

Thank you for your support!