My Authors
Read all threads
#Thread #drmasawe ZIFAHAMU VIZURI SEHEMU ZA SIRI ZA MWANAMKE.
#drmasawe Sehemu za siri za mwanamke ni pana sana kwa maana ya wingi wa sehemu shirikishi zinazounda kiungo hiki.Kuna jumla ya sehemu tofauti 7 zinazounda sehemu za siri za mwanamke,lakini tunaweza kuzigawa katika makundi makuu mawili ambayo Ni
Uke na sehemu inayozunguka uke ikihusisha mashavu,tundu la mkojo n.k (vulva).Huwa tunakosea sana kudhani kuwa sehemu zote za siri za mwanamke ni "UKE"
#drmasawe
1.UKE (VAGINA)
Uke ni ile sehemu (tundu) inayopitisha mtoto wakati wa kuzaliwa,pia ndiyo sehemu ambayo uume huingia wakati wa kujamiiana.Kwa maana rahisi kabisa,uke ni sehemu ya ndani inayotengeneza sehemu za siri za mwanamke,rejea kidole kwenye picha
#drmasawe
2.VULVA
Vulva ni sehemu ya nje ya uke ambayo ndiyo hugusana na nguo za ndani anazovaa mwanamke.Hii inahusisha mashavu makubwa ya nje ya uke,mashavu madogo ya ndani ya uke,tundu la mkojo pamoja na sehemu zote zilizo nje (isipokuwa tundu lenyewe la uke).
#drmasawe
Sehemu ya haja kubwa japo siyo mojawapo ya sehemu zinazounda mfumo wa uzazi wa mwanamke tunaweza kuikaribisha pia kuwa sehemu ya vulva kwa kuwa matatizo yoyote yanayohusisha vulva huathiri pia sehemu ya haja kubwa

#drmasawe
HITIMISHO
Tafadhari RETWEET ili nawengine wapate Elimu hii #drmasawe
Missing some Tweet in this thread? You can try to force a refresh.

Enjoying this thread?

Keep Current with Dr. John Masawe 🔬

Profile picture

Stay in touch and get notified when new unrolls are available from this author!

Read all threads

This Thread may be Removed Anytime!

Twitter may remove this content at anytime, convert it as a PDF, save and print for later use!

Try unrolling a thread yourself!

how to unroll video

1) Follow Thread Reader App on Twitter so you can easily mention us!

2) Go to a Twitter thread (series of Tweets by the same owner) and mention us with a keyword "unroll" @threadreaderapp unroll

You can practice here first or read more on our help page!

Follow Us on Twitter!

Did Thread Reader help you today?

Support us! We are indie developers!


This site is made by just three indie developers on a laptop doing marketing, support and development! Read more about the story.

Become a Premium Member ($3.00/month or $30.00/year) and get exclusive features!

Become Premium

Too expensive? Make a small donation by buying us coffee ($5) or help with server cost ($10)

Donate via Paypal Become our Patreon

Thank you for your support!