Ni mwaka 2014 mwishoni, tulikuwa kidato cha 6 Mazinde Juu, binti aliyekuwa analala kitanda cha juu yangu, Happy alipokea taarifa za msiba wa baba yake mzazi. Zilikuwa taarifa za kusikitisha zilizobadili maisha yake daima. FUATILIA.
#DaktariMwandishi 👣
Katika majadiliano ya tufanyeje kumsaidia, wazo moja
Happy alikuwa bado hajarudi shule hivyo tukaitana wote 117
Niliporudi nyumbani nilijitahidi kukusanya michango kadri nilivyoweza, nakumbuka wazazi wangu wlainiombea michango kutoka kwa rafiki zao pia.
Kila nilipomaliza vipindi vyangu tuition pale Mapambano, nilichukua fomu yangu nikapitisha kwa walimu na yeyote yule
Lakini nilipiga moyo konde na kuwaomba wachangie chochote kidogo.
Hii ilikuwa likizo ya mwisho tulipofungua shule tulikuwa tunaenda kumaliza na lazima nyumba ilipidi ikamilike
Siku ikawadia, tukafungua shule.
Sikuamini macho yangu hela zilivyomiminika mkononi mwangu nikawa kila baada ya night prep watu wanakuja kitandani kwangu kuwasilisha michango.
Kumbuka, Happy alikuwa akilala kitanda cha juu, hivyo aliniuliza ile ni
Tukakabidhi milioni kadhaa kwa Sr.Evetha, tukamwambia aanze na kiasi hicho
Wakati tukiendelea kujiandaa na mitihani ya taifa, nyumba ilikuwa inajengwa na
Basi kwakuwa jambo jema halifichiki, wanakijiji wakayaongelea wakijua Fr.Damian na Sr.Evetha ndio wanamjengea nyumba,taarifa zikamfikia Happy.
Siku moja tukiwa tumepumziak bustanini, akaniambia, ""Wizo, nimeambiwa
Niliona furaha yake, nikajifanya na mimi nimekuwa surprised, nikamwambia asiwaze nitamlipia hizo zawadi anazotaka kuwatengenezea.
Siku zikayoyoma, tarehe 13 Mei, 2015 tukamaliza
Basi, shule nzima
Happy akaambiwa na Sister aende na Matron Lushoto Mjini kununua viatu vya graduation ambayo ingefanyika tarehe 16 Mei, kisha akirudi ndio aende
Nyumba viwili tayari vilikuwa na vitanda na magodoro mapya. Nje wapishi walipika na kuandaa chai na maandazi na chakula cha mchana.
Ngoma ya kisambaa ilipigwa sote tukacheza kwa furaha tukimsubiria Happy.
Happy aliwasili akiwa na Sr.Evetha
Tuliporudi, ndio Sr.Evetha akatangazia shule nzima tulichokifanya kwa mwenzetu. Kila mtu hakuamini.
Ikawadia siku ya mahafali, na mbele ya wazazi
Licha ya jambo hili kuwaacha watu na machozi machoni, lilitoa funzo kubwa ambalo halijawahi kutokea katika historia ya Mazinde Juu.
UPENDO USIOPIMIKA. Upendo wa mabinti 117 waliojitoa kubadilisha maisha ya binti mmoja, na kumfungulia mlango wa
Hakika, nimeuona UPENDO USIOPIMIKA.
#KwaMoyoWote 💛💚
#DaktariMwandishi 👣