On This Day

TWA FLIGHT 800 ๐Ÿ˜ญ
#RIP !!
#The aviation disaster, a Europe-bound Boeing 747, Exploded and Crashed off Long Island,NY

#Thread|StoryTime
#AllpeopleDied
๐Ÿ“œGaddafi, SADDAM HUSEIN wahusishwa | kwa upande wa USA ulikuwa usiku usiosahaulika.

RT @omari_manyama let's go๐Ÿ‘‡ ImageImageImage
#Ikiwa ni dakika 12 tu baada ya kupaa kutoka Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa John F. Kennedy (JFKIA) uliopo mjini New York, ndege [TWA FLIGHT 800] iliyokuwa ikielekea Italia kupitia Paris ililipuka ghafla juu ya Bahari ya Atlantiki na kuua watu wote 230 waliokuwemo ndani ya ndege Image
Tukio hili lilitokea Trh km ya Leo majira ya saa 02:31 usiku Jumatano mnamo Julai 17, 1966, ambapo ndege hiyo kubwa ya masafa marefu aina ya BOEING 747 alimaarufu TWA FLIGHT 800 ya kampuni ya Trans World Airlines [TWA] ililiripuka karibu na pwani ya Long Island na kuua watu wote. Image
Ndege hii [TWA FLIGHT 800] ilitengenezwa na kampuni ya @Boeing mnamo Julai 1971 nchini Marekani na kupewa usajili wa nambari N93119 Boeing 747-131. Baada ya kutengenezwa ilipewa kibali cha kuruka anga za mashariki, Lkn waliokuwa wametoa oda ya kuinunua waliahirisha ikaizwa TWA Image
Unaweza kuifiatilia story Hii

ktk MOVIE iitwayo #TWAFlight800 imechezwa mwaka 2013 baada ya kuandikwa na kuongozwa Kristina Borjesso ikielezea tukio zima kutokana na uchunguzi uliofanywa na CIA na FBI
Stori ya #Thread hii unaweza kuifuailia ktk

๐ŸŽฌMOVIE moja inaitwa #TWAFlight800 iliyotengenezwa na Kristina Borjesso mnamo mwaka 2013.

Tuendelee.. Image
Thead hii unaweza kuifuailia ktk

๐ŸŽฌMOVIE inayoitwa #TWAFlight800 iliyotengenezwa na Kristina Borjesso mnamo mwaka 2013.

Tuendelee ๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡
#KwaUfupi: Kabla ya ndege FLIGHT 800 kulipuka ilikuwa imekamilisha safari takribani 16,869 na kukaa masaa 93,303 ktk anga ikifanya kazi na ilikuwa inatumia na Engine nne aina ya Pratt & Whitney JT9D-7AH turbofan.

Tuendelee na ๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡ Image
Kabla ya ajali ndege nyingine [FLIGHT 881] ya kampuni hiyo hiyo ilikiwa imetua ktk Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Ellinikon huko Athens Ugiriki muda mchache ndipo Flight 800 ikaanza kujiandaa na safari ktk uwanja wa ndege wa kimataifa wa JFKIA majira ya jioni saa 10:38 jioni. Image
FLIGHT 800 ilipangwa kuondoka JFK kuelekea uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Charles DeGaulle saa 1:00 jioni, lkn ilicheleweshwa hadi saa 8:02 za jioni kutokana na dharula. Kuna mzigo ulikuwa ndani ktk ndege hiyo ulionekana hauna mmiliki ikabidi watangaze mpk mhusika alipojitokeza. Image
Abiria wote wakatangaziwa kufunga mikanda tyr kwa kuanza safari ikarudi nyuma kutokea lango Na.27 na mida ya saa 02:04 usiku. Lkn kulikuwa na marekebisho ktk engine #3, hivyo engine #1, #2, na #4 ndio ziliwashwa na saa 8:14 jioni chombo ikaanza kuachia ardhi kupaa kuelekea Paris ImageImageImage
Ndani ya chombo kulikuwa na marubani: Kapteni Ralph G. Kevorkian (58), Steven E. Snyder (57) na mhandisi mzoefu wa ndege Richard G. Campbell (63) [wote walikuwa maveterani wakuirusha TWA Flight 800] pamoja na Oliver Krick (25) mwanafunzi aliyekuwa mafunzo ya uendeshaji ndege. Image
WATU wote waliokuwa kwenye ndege hiyo ni 230 raia kutoka nchi 13 tofauti, ambapo 40 walikuwa raia wa Ufaransa, 169 raia wa Marekani, wengine ni 8 raia wa Italy, 5 wa Portugal pamoja na wengine kutoka nchi za Ivory coast, Germany, Israel, Spain, Sweden na wawili raia wa Norway. ImageImageImageImage
Haijawahi kutokea Marekani ilijikuta ktk wakati mgumu kutafuta chanzo cha mlipuko wa ndege.

Marekan ilitumia zaidi ya 40M Dollars kufanya uchunguzi wa tukio lile. Baadae FBI ilitoa ripoti ya uchunguzi na kusema mlipuko ulisababishwa na hitilafu ya kiufundi kwenye ndege hiyo. ImageImage
Uvumi mkubwa ulienea nchini humo na kuchochea nadharia kwamba lilikuwa tukio la kigaidi na huwezi kuamini aliyekuwa Rais wa Libya kipindi hicho MUAMMAR Gadhafi pamoja na Rais wa Iraq SADDAM HUSSEIN ndio walikuwa washukiwa wa kwanza ktk tukio hili.

RT @Vet_doctor87 @balozi_twita ImageImageImage
Wasiwasi juu yao ulisababishwa na tukio la Dec 21, 1988. Niliwahi kuwaletea #Uzi wa kikundi cha #Black_September, ambapo Pan Am 103 Flight ililipuliwa huko Lockerbie, Scotland na kuua watu wote 270 baadae Abdel Baset Ali Mohmed al Megrah (mlibya) akakutwa na hatia ya mauaji. ImageImageImage
Mashahidi waliokuwa eneo tukio wapatao 755 walihojiwa na kutoa shuhuda zao jinsi mlipuko ulivyotokea angani usiku ule. Wachache walisema waliona kitu km kombora (roketi) kikielekea kwenye ndege kabla ya kulipuka na kuongeza dhana kwamba ndege hiyo ililipuliwa shambulio la kigaidi ImageImageImage
Ilikuwa ni ngumu Mmarekani kuamini kwamba ndege ile ililipuka yenyewe kutokana na matukio mfuatano ya kigaidi.
MFANO ni mlipuko wa ndege Lockerbie Scotland mnamo 1992, karakana ya kituo cha biashara (1993),uwanja wa Olimpiki wa Atlanta Centennial (1996) Image
Msiba huo mkubwa ulitokea siku mbili tu kabla ya kufunguliwa kwa mashindano ya michezo ya Olimpiki ya msimu wa XXVI huko Atlanta, Georgia, na watu wengi walishuku ugaidi.
.
Uchunguzi uliendeshwa kitaalam ambapo karibu vipande vyote vya ndege hiyo iliyokuwa na uzito tani 170 vilipatikana pwani ya baharini na kujengwa upya kama sehemu ya uchunguzi Image
Ijapokuwa chanzo hasa ambacho kilichosababisha mlipuko huo hakikugunduliwa kamwe, ripoti ya uchunguzi ilihitimisha mwaka 1998 kuwa sababu ya ajali hiyo haikuwa shambulio la kigaidi, bali hitilafu ya umeme ndio iliwasha tanki la mafuta lililokuwa karibu ktk ndege hiyo. Image
Tukio hilo linabaki kuwa moja ya ajali mbaya zaidi za ndege kuwahi kutokea ktk historia ya Marekani.

Majina ya watu wote waliofariki yamewekwa kwenye kumbukumbu ya TWA Flight 800 International mnara wa Smith Point County Park huko Long Island, New York. ImageImageImage
Na iliwekwa wakfu Julai 14, 2004, na kujumuisha bendera kutoka nchi 13 waathiariwa.

Shirika la Usafiri wa anga (NTSB) Julai 7, 2021 miaka 25 baada ya ajali hiyo ilitangaza kuondoa mabaki ya ndege hiyo na mwaka 2022 itajenga kituo cha Skena 3-D kwa ajili kumbukumbu ya kihistoria. Image
**Typing Error

Mnamo Julai 17, 1996

โ€ข โ€ข โ€ข

Missing some Tweet in this thread? You can try to force a refresh
ใ€€

Keep Current with JAPHET MATARRA

JAPHET MATARRA Profile picture

Stay in touch and get notified when new unrolls are available from this author!

Read all threads

This Thread may be Removed Anytime!

PDF

Twitter may remove this content at anytime! Save it as PDF for later use!

Try unrolling a thread yourself!

how to unroll video
  1. Follow @ThreadReaderApp to mention us!

  2. From a Twitter thread mention us with a keyword "unroll"
@threadreaderapp unroll

Practice here first or read more on our help page!

More from @Eng_Matarra

18 Aug
WHO is '๐“๐€๐‹๐ˆ๐๐€๐'? WANATAKA NINI HASA AFGHANISTAN?

#๐•ฟ๐–๐–—๐–Š๐–†๐–‰:
Ifahamike, walikuwa yatima ktk kambi za wakimbizi Pakistan.
Je, wana uhusiano na AL-QAEDA? #Tragedy:UINGEREZA & URUSI kuchezea kipigo cha Mbwakoko.
โœด๏ธChimbuko
๐Ÿ“กWalio nyuma yao?
๐Ÿ“‹Tofauti yao na MUJAHIDINA..
Vita vya Marekani nchini Afghanistan vimedumu kwa takribani miaka 20. Nimeona watu wengi wakitoa maoni juu ya Jeshi la TALIBANI kuchukua nchi Lkn wengi hawana historia juu yake. Wengine wanasema Rais wa Marekani @JoeBiden mefanya 'makosa' kuondoa majeshi yake.
BIG NO __Hapana.
Wengi tusichojua ni kwamba, huu ulikuwa ni uhalifu wa kivita na DICK CHENEY, aliyekuwa Vice President wa G. W BUSH na DONALD RUMSFELD, Kiongozi Mkuu wa Ulinzi kipindi cha Vita ya IRAQ (alishafariki), ndio walioiingiza Marekani kwenye shida hii unaiona Leo, kisa wanamtafuta OSAMA
Read 114 tweets
11 Aug
๐…๐€๐‡๐€๐Œ๐” ๐€๐’๐ˆ๐‹๐ˆ ๐˜๐€ ๐Œ๐€๐‰๐ˆ๐๐€ ๐˜๐€ ๐Œ๐ˆ๐Š๐Ž๐€๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ

#๐•ฟ๐–๐–—๐–Š๐–†๐–‰:
Tanzania ni nchi iliyoko Africa
Jina "๐“๐š๐ง๐ณ๐š๐ง๐ข๐š" lilipatikana kwa mashindano yaliyotangazwa mwaka 1964 na ๐Œ๐จ๐ก๐š๐ฆ๐ž๐ ๐ˆ๐ช๐›๐š๐ฅ ๐ƒ๐š๐ซ ndiye aliyelibun.Hivi unafaham asili ya jina la mkoa wako?
Ktk kipind cha ๐”๐ค๐จ๐ฅ๐จ๐ง๐ข Tanzania ilikuwa na utawala wa majimbo 8, Lkn baada ya #๐”๐ก๐ฎ๐ซ๐ฎ mikoa ilianzishwa kwa miaka tofauti na mpk Leo hii ninavyoandika #Uzi huu ๐Œ๐ข๐ค๐จ๐š 31 imeanzishwa kutoka pande zote Visiwani na Tz Bara.Najua ulishawahi kujiuliza asili ya Mkoa wako
Kila Jina unalosikia lazima kuna chimbuko ambalo ndio Asili ya jina hilo. Aidha, yawezekana limetoholewa ktk lugha za kigeni na kuchukuliwa kutokana na matumizi yake, muonekano, lugha za asili ktk Eneo fulani, tukio ama hata tabia za watu wa eneo fulani na makosa ya kimatamshi
Read 158 tweets
29 Jul
FAHAMU MADINI YA ALMAS ๐Ÿ’Ž UTAJIRI & VITA YAKE

#Uzi:
๐Ÿ“‹Asili yake
๐Ÿ“‹Historia yake
๐Ÿ“‹Mgunduzi wake
๐Ÿ“‹Aina & Thamani yake
๐Ÿ“‹Vita yake duniani na Tanzania
๐Ÿ“‹๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ iligunduliwa lini na nani, wapi
๐Ÿ“‹DE BEERS & Msukuma wa Williamson DIAMONDS, aliyeipenda Mwadui hakuna wa mfano wake!!
๐Ÿ”„๐Ÿ‘‡
Leo nimechagua kuzungumzia Maliasili za Taifa๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ

#Maliasili ni vitu vinavyotokana na maumbile. MFANO:Wanyama, Misitu, Madini n.k kama ulikuwa hufahamu maliasili za nchi huchangia ktk utajiri wa nchi husika.Mojawapo ni South Africa, imenawiri kiuchumi kutokana na utajiri wa madini
Nafahamu ulishawahi kujiuliza, Almasi ni nini? Iko iko je? au Almasi zinatengenezwa na nini?

LEO nakupa Jibu:

#ALMASI: Ni kito Adimu chenye thamani kubwa sana Duniani. Kito hiki ni kigumu sana kushinda Metali au madini yote Duniani. Asili yake hutengenezwa na Carbon (C) 99.95%
Read 96 tweets
27 Jul
FAHAMU MVUMBUZI WA TELEVISION (๐Ÿ“บ)

#Yes_____&&
#Thread|story๐Ÿ•
Any sufficiently Advanced Technology is indistinguishable from MAGIC!! Binafsi huwa nasema Technology Is the Great ant๐Ÿ’‰dote to the Poison of Enthusiasm and Superstition๐Ÿ’ฃ
๐Ÿ“‹Asili ya TV
๐Ÿ“‹Historia yake
๐Ÿ“‹Uvumbuzi n.k
Televisheni (TV) au Runinga ni kifaa chenye kioo ambacho kinapokea mawasiliano kutoka kituo cha televisheni na kuyabadilisha kuwa picha na sauti.

Neno "Televisheni" linatokana na maneno mawili:
(i)Tele (Kigiriki)-kwa mbali sana na
(ii)Visio (Kilatini)-mwono.

RT @omari_manyama
kwa pamoja yanaunda neno la Kiingereza #Television limetoholewa kwa lugha ya Kiswahili "Televisheni".

Ugunduzi wa TV๐Ÿ“บ ni kazi iliyofanywa na watu wengi mwishoni mwa karne ya 19.Karne ya 20 Watu mmoja-mmoja na makampuni yalishindana kuunda chombo kilichopiku teknolojia ya awali.
Read 37 tweets
19 Jul
MAUAJI YA RAIS WA HAITI

#OnJuly07, 2020 ๐Ÿ‡ญ๐Ÿ‡น

#Story ina part A na B

๐Ÿ“‹Historia ya Haiti

๐Ÿ“‹Mauaji ya Rais @moisejovenel

๐Ÿ‘ฉโ€๐Ÿ’ปUnajua tangu ipate uhuru imeongozwa zaidi ya marais 49, kati yao 9 ndio walimaliza vipndi vyao bila kupinduliwa/kuuawa wakiwa madarakani?
#Thread|Story๐Ÿ•’๐Ÿ‘‡ ImageImageImage
Usiku Julai 7 watu wenye silaha walivamia makazi binafsi Rais @moisejovenel wa Haiti na kumuuawa. N MAUAJI yaliyoshtua Haiti, ingawa bado haijulikani nani aliyeajiri wauaji na kwanini, lkn mercenaries wa Colombia na Marekani walikamatwa kufuatia mauaji yale.
RT iwafikie wengi๐Ÿ‘‡
Turn on Notification..

Naona ๐Ÿ“ฑ iko Low baada ya nusu saa hv nitarudi kukiwasha.

Hii nchi ni mapinduzi, kuuawa, kutiwa sumu ukiwa madarakani mpk le๐Ÿ‘‡ ImageImage
Read 322 tweets
13 Jun
"YOU ARE UNDER ARREST"

#Uzi

๐Ÿ“ŒJe, wajua Leo ilikuwa siku ambayo sheria inayomlinda mhumiwa [Miranda rights/Warnings] anapokamatwa na vyombo ulinzi ilipitishwa huko marekani?

๐Ÿ’จYES it's Miranda Vs Arizona case

๐Ÿ“Œ Historia yake

๐Ÿ“Œ Chanzo chake

๐Ÿ“ŒMaamuzi ya kihistoria.

๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡ ImageImage
Mnamo Juni 13, 1966 Mahakama Kuu ya Juu (Supreme Court) nchini Marekani ilitoa uamuzi wa kihistoria juu ya taratib za uendeshaji kesi za jinai mahakamani.Uamuzi huo ulitokana na kesi ya Miranda Vs Arizona kwamba watuhumiwa wa kesi wanazo haki zao kabla ya kuhojiwa wawapo kizuizin Image
Nadhani ulishawahi kusikia maneno haya

1. Una haki ya kukaa kimya.

2. Chochote unachosema kinaweza, na kitatumika, kama ushahidi mahakamani.

3. Una haki ya kuwa na wakili.

4. Ikiwa hauwezi kumudu gharama za wakili mahakama, itamteua mmoja kusimamia kesi zako

Tuendelee ๐Ÿ‘‡ Image
Read 35 tweets

Did Thread Reader help you today?

Support us! We are indie developers!


This site is made by just two indie developers on a laptop doing marketing, support and development! Read more about the story.

Become a Premium Member ($3/month or $30/year) and get exclusive features!

Become Premium

Too expensive? Make a small donation by buying us coffee ($5) or help with server cost ($10)

Donate via Paypal Become our Patreon

Thank you for your support!

Follow Us on Twitter!

:(