1. Maumivu ya tumbo kabla au baada ya Kula
2.Tumbo kujaaa gesi (bloating)
3.kutokusikia njaa/hamu ya kula kupotea
4.kichefuchefu/ kutapika
5.kuhis kushiba haraka
6. Mara nyingne vikizidi husababisha mtu KUTAPIKA DAMU& KUTOBOKA TUMBO (perforation)
1. Maambukizi Ya bakteria aitwaye H.Pylori
2. Matumiz holela ya aspirini,diclofenac,clopidogrel nk,
3. MSONGO WA MAWAZO ,kuungua moto,ajali,maambukizi ya virusi na saratani ya tumbo izalishayo kwa wingi tindikali tumboni(gastrinoma).
1.Matibabu hutegemeana Na kusababisha lakini mara nyingi watu wenye H.Pylori infection hupewa dawa kwa wiki mbili au tatu (Antbiotics na dawa za kupunguza acidi inayotengenezwa na tumbo)
Wengine huhitaji dawa za kupunguza acidi kwa muda mrefu au kwa maisha Yao .