🔵Tatizo la kutembea usingizini hutembea katika familia; 45% ya watoto wanaotembea usingizini pia na wazazi wao walitembea usingizini
🔵Hii ni SLEEP TERROR ni tatizo ambalo huambatana tatizo la kutembea usingizini
🔵 Inahisiwa kuwa sleep terror hutokana na kuhama kwa ghafla kutoka hatua moja ya usingizi kwenda nyingine.
Kwa wenzetu ipo, kwetu haipo
Kuna kesi za kudondoka toka ghorofani wakiwa usingizini
Inahisiwa kwa watoto neuron zinazozalisha GABA zinakuwa hazijakomaa vizuri hivyo wakati wa usingizi udhibiti wa misuli unakuwa hafifu hivyo mtu huweza tembea