Mnamo mwaka 2002, Noya alikuwa form 1 katika shule ya sekondari Kihonda mkoani Moro. Alipoishi kulikuwa na binti anayeitwa Deborah, akiwa darasa la 6. Familia zao zilikiwa marafiki, Deborah kwao walikuwa watatu, na wadogo zake 2 wa kike.
👇🏾
👇🏾
👇🏾
👇🏾
👇🏾
👇🏾
Noya alipata nafasi UDSM na mkopo 100%. Alianza shule yake, huku akiendelea kumpiga mistari Deborah bila mafanikio.
👇🏾
👇🏾
👇🏾
👇🏾
👇🏾
👇🏾
👇🏾
👇🏾
Noya akafanikiwa kupata kazi, akaanza kazi rasmi na baada ya miezi 2 mambo moto
👇🏾
Deborah hakuchoka kutia fitina zake na kuendelea kuwaharibia.
Siku moja wakiwa shereheni
👇🏾
👇🏾
👇🏾
👇🏾
👇🏾
Usitukane mto kabla hujavuka Mamba😊. Hata kama humtaki mtu au hakuvutii, usimfanyie ubaya au kumdhalilisha. Hakuna ajuae kesho, ndo maana tunahimizwa kufanya wema kwa Kila mtu.
Wadada kwa wakaka, tukataliane kwa Amani bila lugha mbaya.
***Asante Sana***