My Authors
Read all threads
I WON LOVE TO A PASTOR'S DAUGHTER 💔 😒

So guys, vile tunaishi kila siku kupenda,kupendwa na kupendana ni vitu visivyoepukika.Tunapenda watu wengi wenye haiba na asili tofauti tofauti
Nikajikuta nampenda mtoto wa Mchungaji 🙌🏼
T H R E A D 👇🏼
My story began one Sunday evening i was home alone and bored baada ya mikiki za wiki nzima mida kama ya saa kumi jioni nkiwa nje barazani nimechill sina jambo nakula upepo kijana wenu
Sidaiwi kodi,umeme upo maji nshalipa nipewe nini tena labda kidonda nifukuze nzi😂
Mbele ya napoishi kuna jumba flani kubwa anaishi Pastor mmoja wa kanisa flani la Walokole hapa town yupo na familia yake. Anaishi na wanae wengi wakiume na wakike wawili japo nlikua namuona wakike mmoja tuu anasoma kama kidato cha pili uyu mwingine wakike tokea nahamia hapa mtaa
Nlikua sijawahi muona.Humo ndani kwa pastor majina ya watoto ni ya kinabii tuu mara Joshua,Elisha,Petro mara Anna hamna Kelvin wala Michael humo ndani😁
So nimetulia tuu pale barazani nkaona binti mmoja mwenye nywele natural zile kafunga kama mchicha kwa nyuma, mrefu kiasi
Kavaa skirt nyeusi kachomekea t-shirt ya pink halafu ameongozana na Joshua ( huyu ni mtoto wa Pastor yupo standard 6 ni karafiki changu haka mara kadhaa anaijiaga movies ghetto😄)
Wakawa wanapita mbele ya nyumba yetu kuelekea kwao nkamstua dogo Joshua nipate details za huu ugeni
Dogo akaja akamuacha sister wake aendelee mbele tukapiga story kidogo nkaanza kumchomekea who was that angel in our street 🤗 akasema ni dada yake alikua nje ya nchi kusoma.Duuh nkawaza nje ya nchi tena 🙄 legend nikajipa moyo hata Burundi nje ya nchi asintishe huyu😏. Nkaingia
Ndani nkaja na kikaratasi nimeandika namba za simu nkampa dogo ampelekee sister mwambie anitafute.Hii nlifanya kubet tuu maana possibility hapa huaga ni 1.5% 😀
Siku zikapita bila kutafutwa sikushangaa maana nlitegemea pia.But kuna siku nkaenda kwa Mama Brenda kununua mtindi jion
Nkamkuta yule binti wa Pastor nayeye yupo na jagi kafata nkasema leo ntasema nae if i die i die kwani navunja katiba kutongoza ebooh😎
Nikahudumiwa chap nkaanza kumfukuzia kwa nyuma nkamfikia and nkampa hai kumuuliza jina abaitwa Faith nkamwambia Naitwa "Noh" akashangaa jina fupi
Nkamalizia Noel bana..na story kadhaa zikafata
Me; nimekuona kama mgeni hapa mtaani au mi ndo mgeni kwako?😄

Her; nop! Hujakosea japo nlizaliwa hapa lakini elimu yangu ya sekondari sikusomea Moro na bahati mbaya chuo nimemalizia Kenya.
Nkaanza kuwaza kumbe Kenya tuu apo😂😂
So alinambia alisomea Kenya +254 chuo kinaitwa KEMU (Kenya Methodist University ) kasoma habari za Human Nutrition and dieting.Nkajitambulisha pia kimtindo (legend hasemi yote intro tuu kwani unaomba kazi bhana😁)

Tukakaribia kufika nkamuomba namba kwa bahati mbaya sikubeba simu
Nkamwambia anitajie nikariri maana nlijua tunaweza tusionane maana haya mambo haya..Akashangaa sema akataja tuu nkazimeza kama zilivo nimefika home nkawahi kuzisevu zisije zikafutika kichwani mi mwenyewe tia maji tia maji 🤣
Night naweka status naona anaview wakati namba yangu
Sikumpa nkawaza itakua dogo ile karatasi alimpa na akasevu kwenye simu..Sikuchelewa nkamuanza what's up kuchat Story kidogo namuuliza habari za Kenya kina Caligraph Jones na Nyanshiski kumbe ye hapendi hayo mambo mtoto wa pastor 🙄
Uzuri kila namba uwanjani mi nacheza nkaanza
Kumuuliza Gospel singers wa kule kina Eunice Njeri,Adawnange Band kina Bahati hapo nkaona anakuja kuja nkasema enheee✌️
Sasa bhana nkamchomekea ishu za mahusiano nsjiechelewa nkakuta mwana si wangu.Thubutuuuu vifungu vya biblia vilivoanza kumwagika pale wazee nlijuta mara Warumii
Mara Wakorintho mara Petro wa Kwanza ngapi ngapi Yohana mlango wa ngapi inasema kuzini sijui nini nini 🤣
Huyu binti nyie acheni tuu wakati mi huko siko sana japo knowledge ya Sunday School ile utotoni bado kichwani imo. Mi nkawa namfata kwa fact tuu bila vifungu vya Bible
Akasema muda utafika na atampata alieandaliwa kwa ajili yake mi nkamchana
" Skia Faith haya mambo ya mahusiano ifike mahali tuyaache yaje yenyewe spontaneously haina haja ya kuhusisha imani wala tofauti zingine, nipe muda wako nkuoneshe upande mwingine wa dunia am proud of my
True love " akacheeka kwa emoji akasema " kijana mi naona kwa sasa tuitafute pepo kwanza hizi zingine zitakujaga " aagh wapi sikikubali nkakaza " Okay Faith kwaio kama pepo tuanze kuitafuta haya mahusiano tutayatafuta lini? " akajichekesha but in short nlimtia misumari ya moto
Mpaka ile usiku mwema aliyotuma iliambatana na emoji za ngedere aliyeficha sura kwa viganja 😁😍
Naamka nakuta text
" Ey Noh naomba hata tukisema tuingie kwenye mahusiano yawe ya kweli na kama hujui am virgin na pia tumuhusishe Mungu pia " 😁😁nkajua huyu mgeni wa izi mambo huyu
Nkasema poa haina noma Mchumba Kakajibu eti " okay ntakua wako mimi binti sayuni " 🤣 eti binti sayuni daah🙌🏼
Nkawapa story washkaji wakaanza ooh utalaaniwa kama unataka kumchezea mtoto wa Pastor mi nacheka tuuu Laana iyo Kwio 😂😉
Penzi likakolea na binti wa Pastor nlimpenda
Nlipenda zile kuntumia kila asubuhi Bible verses na kuniandika mapenzi ya Kiebrania maana alikua anaandika love text halafu anainguzia na mistari ya Bible mi nkasema niende nae tuu sawa huyu.
Nkabadilika..Wazee Faith alinibadilisha nkawa mtu mwingine kabisa
Hizi Bwana Asifiwe zikawa nyingi mpaka nkawa sioni siskii.Kuna siku nkakutana na mwanangu Kevoo wa chuga uyu nkamwambia Bwana Asifiwe akantukana
" we fala sisi tunakujua wewe usivunge na unachotafuta ni laana ya pastor " hawakuamini hawa jamaa😒
Siku zikaenda bhana na mpenzi wangu wa kilokole mpka kuna siku akaniambia jioni twende kwenye mkesha nkasema poa.Tumeenda bhana duuh sitosahau maana ile baridi,imefika saa tano tuu night nimedevela usingizi huku wenyewe wanaimba nakusifu kidogo nitoroke nyie😁
Siku zikapita
Sasa siku nimekaa ghetto nkaona hapana mbona kama nadate na dada yangu sijawahi kumkiss wala kufanya chochote. Nkapanga nimpange aje ghetto kweli akatokea bhana maghettoni na Tenzi za Rohoni mkononi nkaona mambo yasiwe mengi nkaichukua ile Tenzi nikaifungia kwenye droo nsione soo
Sure Faith alikua virgin maana aliweweseka sana joto linapanda yani nlitoka mwili umejaa kucha kanikwarua meno kuning'ata halafu huezi amini sikufanya chochote vyenye nlivokasirika na zile purukushani 😭😭
Akasepa home akafika anatuma meseji za kuomba msamaha mi nkasema poa
Sasa bhana tatizo likaanza Huyu binti ye alikua anaimba Kwaya so mara kibao nkitoka college kama sina jambo ntamsindikiza mpaka kanisani kwenye mazoezi ya kwaya Maana pia mwanangu Macha alikua anaimba kwaya so ilikua time yakuonana nae. Nafika kule naona mazoea yanazidi kati
ya Faith ya yule mshikaji Choir master.Jamaa ana kandinga kake flan ivi amefuga afro na vindevu flani ivi.Nkimuuliza demu anasema hamna kitu.
Kuna siku nipo kibarazani home akawa ameletwa na iyo gari kwao wakashuka na jamaa yule yule asee nlitamani nkatoe upepo ile gari😫
Nkamuuliza Faith what's going on mbona naona sielewi wamekua karibu sana na yule msela anakataa totally nkasema niache wivu wangu.
Kuna siku nkamuuliza Kijana wangu Macha maana nayeye anaimba kwaya na Faith.
Jamaa hajawahi nificha jambo akasema ni kweli yule bwana Choir master
Anaitwa Moses anatoka na mali yako.Asee iliniuma sana mnoo sio kisa nlikua sjalala na yule binti Nooo shida ni kwamba nlibadilika mienendo yangu ili kuendana na huyu manzi lakini akaona haitoshi kuniacha design iyo.
Huezi amin playlist yangu nyimbo zote nlifutaga nikaweka kina
Martha Mwaipaja,Joel Lwaga kina Angel Benard ili tuu afurahi. Kijana wa watu nikawa nachomekea kila siku wazee
Mbaya zaidi aliwahi kunambia anapenda sauti yangu nzito na bezi sasa inakuaje anatoka na kwaya masta mwenye sauti nyororo 😫😒
Nkasema poa.
Kuna siku nkakutana nae
Dukani kwa masai nkamuuliza akatema shit kibao mbele ya washakaji wanne na masai mmoja " Noh naomba unaiche kwa sasa yule ni kweli natoka nae na tumeanza muda sana kabla hata sijarudi bongo "
Sikua na neno nkamuacha aende wana wakanipa moyo ndo dunia ilivo mzee baba kula bia tuu
Maisha yakasonga asee sikua na mawasiliano nae tena wala nini.Nkarudi zangu za zamani but mpaka tunavoongea ivi Faith anamimba yupo home na jamaa walishaachana but namuhurumia sana coz wazazi wake walikua disappointed sema kwa upande mwingine
Naona poa tuu ajifunze halafu amfunze na mdogo wake wa kike kwa vitendo.😂
#End
#NohTalk ☕️
Missing some Tweet in this thread? You can try to force a refresh.

Enjoying this thread?

Keep Current with Noe_Wenc 💊

Profile picture

Stay in touch and get notified when new unrolls are available from this author!

Read all threads

This Thread may be Removed Anytime!

Twitter may remove this content at anytime, convert it as a PDF, save and print for later use!

Try unrolling a thread yourself!

how to unroll video

1) Follow Thread Reader App on Twitter so you can easily mention us!

2) Go to a Twitter thread (series of Tweets by the same owner) and mention us with a keyword "unroll" @threadreaderapp unroll

You can practice here first or read more on our help page!

Follow Us on Twitter!

Did Thread Reader help you today?

Support us! We are indie developers!


This site is made by just three indie developers on a laptop doing marketing, support and development! Read more about the story.

Become a Premium Member ($3.00/month or $30.00/year) and get exclusive features!

Become Premium

Too expensive? Make a small donation by buying us coffee ($5) or help with server cost ($10)

Donate via Paypal Become our Patreon

Thank you for your support!