, 8 tweets, 3 min read
My Authors
Read all threads
UGONJWA WA KISUKARI NA MAAMBUKIZI.

Thread

Mtu mwenye ugonjwa wa kisukari huwa katika hatari ya kupata maambukizi kuliko yule asiye na ugonjwa wa kisukari.
Uhusiano huo ulielezewa zaidi ya miaka 100 iliyopita na bado unajadiliwa mpaka leo.
#Afyakwawote.
Maambukizi yanayohusishwa sana na mtu mwenyewe kisukari ni kama

1. Maambukizi ya ngozi na tissue mbali mbali.

2. Maambukizi ya mfumo wa mkojo na uzazi

3. Maambukizi ya mfumo wa upumuaji.

4. Maambukizi ya mfumo wa mmeng’enyo wa chakula.
#Afyakwawote.
Maambukizi haya yanaweza kuwa ya bacteria, fungus na virusi.

Kuna dhana inayoelezea kuwa kisukari hushusha kinga ya mwili hivyo basi kupelekea mwili kushindwa kupambana na vimelea mbali mbali vya magonjwa.
#Afyakwawote.
Dhana hiyo inaelezea kuwa sukari ikishakuwa nyingi kwenye damu huvunjwa vunjwa na kutengeneza kemikali aina ya sorbitol ambayo huvutwa na chembe chembe nyeupe za damu aina ya neutrophils.
#Afyakwawote.
Ikumbukwe kuwa kazi kubwa ya chembe chembe nyeupe za damu ni kuulinda mwili dhidi ya magonjwa mbalimbali.

Pia asilimia kubwa ya chembe chembe nyeupe za damu zimetawaliwa na neutrophils.
#Afyakwawote.
Sorbitol ikishavutwa na neutrophils huzifanya chembe hizo za damu kuwa nzito na kushindwa kujongea kama hapo awali (adhesion and migration) hivyo kushindwa kuvifikia vimelea.
#Afyakwawote.
Pia uwepo wa sorbitol kwenye neutrophils hupunguza kiasi cha superoxide, kemikali ambayo hushambulia vimelea vya magonjwa pindi viingiapo mwilini (phagocytic activities)
#afyakwawote.
Missing some Tweet in this thread? You can try to force a refresh.

Enjoying this thread?

Keep Current with njole julian

Profile picture

Stay in touch and get notified when new unrolls are available from this author!

Read all threads

This Thread may be Removed Anytime!

Twitter may remove this content at anytime, convert it as a PDF, save and print for later use!

Try unrolling a thread yourself!

how to unroll video

1) Follow Thread Reader App on Twitter so you can easily mention us!

2) Go to a Twitter thread (series of Tweets by the same owner) and mention us with a keyword "unroll" @threadreaderapp unroll

You can practice here first or read more on our help page!

Follow Us on Twitter!

Did Thread Reader help you today?

Support us! We are indie developers!


This site is made by just three indie developers on a laptop doing marketing, support and development! Read more about the story.

Become a Premium Member ($3.00/month or $30.00/year) and get exclusive features!

Become Premium

Too expensive? Make a small donation by buying us coffee ($5) or help with server cost ($10)

Donate via Paypal Become our Patreon

Thank you for your support!