Tuko works harusi, 2 teams of a video guy, a photographer and a runner. Squad 1 kwa akina boy child Kilimani, squad 2 tuko Outer, Eastlando, kwa akina gyal dem. Boy child Mhala, Gyal ni Msapere. Si mnajua tu drama za harusi huanza at exactly 7:00am sharp?
Man, tukaweka menjos chini, tukatoa viatu, tukanawa. Tukasema sala. Tukajirusha uwanjani. Wacha tujipurure. TUKAJIPURURAAA.
My goshness.
Shoot inaenda poa sana, nyweee. Vile inafaa.
Hapo ndio nikameza Adam's apple for the first time ever in my life.
Her pal: Nimeziweka hapo kwa meza less than 5 minutes ago.
Screamer: Noooo. Imagine zime-disappear.
Her pal: Oh no. What is this? Surely?
I call the lads niwazushie. 'Jamaa, si niliwashow msiguze stuff kwa meza. Oneni sasa mumeleta mezesha. I am so disappointed in you, boys.'
Bezo: Fadhela, mi naona tufanye hivi. Tuchange change chapaa chap chap, nikimbilie smokie hapo Buru stenje, jamaa anauza ashafungua, nichangamke mara hiyo hiyo na nikuje na boiro ashu tuzime hii nare.
Hapo ndio nikajua kumbe Cyprian Is Not Nyakundi.
Bezo: Ilikuwa ni idea tu. Wewe sema yako basi tusikie.
Me: Idea yangu ni wewe unyamaze.
Bezo: Ata hiyo inaweza work.
And then he keeps quiet. I decide honesty is the best policy, so I step into the house to apologize.
Her: Muhori wa bisha. Derakunywa Shai?
Me: (Then I channel all my kyuk). Usher. Gotire kunywa chai oyo degwo dhafuni! This is the detergent. Donge?
Her: She is discombombulated. Manauliza, Mamekunya shai?
Me: (In short). Usher!
She almost faints at my kyuk.
Nikainua mikono, nikaanza kuimba, 'Kwa Moyo wangu wote, natoa shukrani kwako, Massiah-ah-ah, nashukuruuuuu.'
Hivyo ndio Mungu amenusuru watoto wake.
Kidogo, hot breakfast is brought.
While deciding what tea is and what it is not, boychild's family arrive for the bride. They call the Isikuti guys, who refuse to get out. It's a standoff. Finally they make their demands known.
They want cham.
Ng'ang'o.
Jetfuel.
Atomic Grade KDF!
Waka-charge. And then, Armageddon!!!
Man, they sang louder than everyone else combined. Wakashikisha 45 minutes kwa akina dem, alafu all the way to Friends Church Ngong Rd.
Jasho inamwagika proper, lakini Abaluhya Sol hawachoki ng'oo.
Na kibuyu ata haiko half.